
Brand manager na digital marketing na content creator wa wasafi …
May 21, 2023 · Matangazo meng ya wasafi soap hayapo creative kitu ambazo kitafanya ata mtu mzima mwenye heshima zake ashindwa kununua iyo sabuni na kutembea nayo mtaani. Content za matangazo ya wasafi soap yote yapo kingono ngono na mengine ni mauno tu na vigoma.. Mwsho wa siku matangazo ya wasafi soap hayana tofaut na matangazo ya condom ..
wasafi media - JamiiForums
Feb 3, 2025 · Wasafi Classic Baby (more commonly known as WCB or WCB Wasafi) is a Tanzanian-based record label founded by Tanzanian musician Diamond Platnumz.
Leo Wasafi wameupiga Mwingi, Jeshi la Polisi linatumika bila busara
Apr 10, 2025 · Kama kawaida, Edo na Baba Levo ndio watu ambao they can speak nothing but truth . Edo alishawahi kumwambia Cheusi kuwa asiseme watu wanajiteka wakati wanapoteza familia zao. Baba Levo ana inborn Character ya intelligence….he is smart ….. baba levo ni Alama kuwa kusoma sio kuwa na akili. Oscar...
Baba Levo atangaza Mbosso kuondoka WCB Wasafi na uamuzi
Jan 29, 2025 · Wakuu Mtangazaji na mtu wa karibu na Diamond Platnumz, Baba Levo amesema Mbosso amepata baraka zote sasa ni ruksa kuondoka WCB Wasafi na hatolipa gharama yoyote kama ilivyokuwa kwa Harmonize, Rayvanny
Zuchu amlipua Diamond na familia yake. Adai kufanyiwa …
Jan 16, 2025 · Msanii wa Bongo Fleva, Zuchu, ameandika barua ya wazi kwa Diamond Platnumz akilalamikia unyanyasaji wa mara kwa mara kutoka kwa taasisi yake Wasafi FM, kupitia maudhui ya kipindi cha Mashamsham. View attachment 3203758 Zuchu amesema maudhui hayo yameathiri sanaa na afya yake ya akili, licha ya uwekezaji mkubwa wa …
Mjue mmiliki halali wa Wasafi Tv | Page 11 | JamiiForums
Jul 26, 2014 · Ulichokifanya wewe nikuwasilisha mada katika inverse form,. Kwakuwa wamiliki wa Wasafi ni watatu kama ulivyosema ,basi nilitegemea kuona heading yako ikisomeka "WAJUE WAMILIKI HALALI WA WASAFI" lakini imekuwa tofauti. Sasa hapa ndio maana unajaribu kutumia effort kubwa sana kuwaelewesha raia.
Ni kweli Diamond ndiye C.E.O wa Wasafi Media? - JamiiForums
Jul 8, 2016 · ukweli ni hivi wakati wasafi tv inaanzishwa TCRA walitangaza wamiliki ambapo mmiliki mwenye hisa nyingi ni mke wa joseph kusaja. walionyesha ana miliki hisa 51 hivyo basi kibiashara ndiye mwenye final say na anayepokea gawiwo kubwa. Sasa ni hivi hushamuona siku yeyote mke wa kusaga anaongelea chochote kuhusu hiyo wasafi tv?
Salma Dakota wa TBC rasmi amejiunga na Wasafi Media
Jun 8, 2019 · Wasafi Media a.k.a Real Madrid wa media wamemsaini rasmi mtangazaji aliyekuwa anatangaza TBC Salma Dakota baada ya kufikiana makubaliano kwa pande zote mbili. Jana Salma Dakota ameaga uongozi wa TBC na wafanyakazi wote nakutoa shukrani zake zote kwa kipindi chake chote alichokuwa anafanya kazi hapo.Wasafi …
Hivi karibuni The story book ya Wasafi Fm imeanza ... - JamiiForums
Nov 4, 2016 · tunaomba uongozi wa wasafi fm mtiga abdalah aendelee kuwa msimuliaji wa the story book na jamaly_april aendelee kuwa muandaaji wa the story book. nategemea kipindi kijacho cha siku ya jumatano tutaisikia sauti ya mtiga abdalah, maana tayari isha kaa kwenye masikio yetu, ni hayo tu kazi kwenu wasafi media #swizzy
wasafi - JamiiForums
Sep 10, 2024 · Wakuu Mtangazaji na mtu wa karibu na Diamond Platnumz, Baba Levo amesema Mbosso amepata baraka zote sasa ni ruksa kuondoka WCB Wasafi na hatolipa gharama yoyote kama ilivyokuwa kwa Harmonize, Rayvanny