
Msaada: Napata maumivu makali sehemu ya haja kubwa kiasi cha …
Jul 21, 2022 · Ni muda sasa takriban wiki mbili nina maumivu sehemu ya haja kubwa. Siwezi kukaa na ninatembea kwa shida sana.
Napata maumivu ya kichwa yasiyopona kwa takriban mwezi sasa
Mar 27, 2025 · Ok nenda hospitali nzuri ukamuone Daktari bingwa, itapendeza akiwa wa ufahamu na ubungo. Headaches ina sababu nyingi, inaweza kuwa migraines, cluster headache, au kuna ugonjwa mwingine wowote. Ok ahsant nitanya ivo
Kituo kinachofuata Taiwan napata mashaka - JamiiForums
Jul 14, 2024 · Napata mashaka kuwa kituo kinachofuta ni Asia na Taiwan atakuwa katika nafasi mbaya zaidi. Kwanza kabisa Trump kawaambia Taiwan lazima waamishe TSMC kwenda marekani hiki ni kiwanda kilichoshika uchumi wa Taiwan kwa asilimia kubwa hii ni hasara, pili kawataka lazima wa share ujuzi na makampuni ya kimarekani changamoto nyingine hii
Napata wapi Tiles za kisasa kwa bei nzuri! | JamiiForums
Jan 6, 2014 · Naomba mnisaidie wadau mnisaidie sehemu ya kupata tiles nzuri kwa bei nafuu.
Napata maumivu upande wa kushoto wa kifua - JamiiForums
Feb 19, 2017 · Mara nyingi linakuwa tatizo la kurithi, lakini hii pia husababishwa na vitu kama vile; I) kutokufanya mazoezi ii) aina ya vyakuka unavyokula kutokana mahitaji ya mwili ,,, mfano mwili unahitaji kiwango Fulani cha sukari na mafuta, lakini vikizidi au kupungua sana husababisha matatizo ya moyo, iii) mikao isiyostahili kwa mfano kuegemea upande mmoja wa mwili kwa muda mrefu na kutokubadilisha ...
Mtandao upi napata Unlimited Data kwa malipo ya mwezi
Jan 5, 2018 · Mtandao Mobile ambao unaweza kutembea nao ni vodacom supakasi, bili ni 120,000 kila mwezi, speed ni nzuri tu hasa kama unatumia peke yako ama mpo wawili, zaidi ya hapo itabidi ununue vifurushi vya bei zaidi ili speed isiwe tatizo hata mkitumia wengi.
Nimeacha pombe na sigara lakini napata taabu sana, sipati …
Feb 1, 2025 · Hongeraaaa sanaaaa,,, sas fanya mambo yafuatyo yanaweza kukusaidia Tengeneza juice ya vitunguu maji kisha Tia asali mbichi vijiko 2 piga glasi moja jioni kila siku kabla ya kulala.
Msaada napata maumivu makali kwenye njia ya haja kubwa
Dec 25, 2019 · Habari zenu poleni na majukumu, jamani na shida naombeni ushauri wenu kwa anayejua napata maumivu makali tumbo linanikata sana chini ya kitovu maumivu yanazungua Hadi kwenye njia ya haja kubwa napata vichomi Kama vile naingiziwa kisu hali hii ikinitokea nashindwa kutembea Wala kujigeuza inabidi nitulie maana nikijitikisa maumivu yanazidi kuwa makali hata Kama natembea kichomi kikinipata ...
Napata wapi viatu hivi kwa hapa Dar? - JamiiForums
Dec 3, 2012 · By professional mm ni anthropologist, ninafnya kaz za public health, social welfare n epidemiology au social work.
Nimepata uvimbe sehemu ya haja kubwa. Napata maumivu
May 24, 2020 · Huu ugonjwa kwakweli umenitisha sana maana unavimbisha sehemu ya haja kubwa na napata maumivu makali hasa wakati wa kutembea na wakati wa kwenda haja kubwa. Kwa mara ya mwisho docta ameniambia km dawa itashindwa inabidi nifanyiwe operation ya kukata. Hapa alinichanganya zaidi akili yangu.