
Wafanyabiashara Wa Kamba Za Mkonge Waiomba Serikali Kuzuia Kamba …
Jul 24, 2022 · Hana Abasi na Karimu Ally ni wafanyara wa kamaba za mkonge katika soko la Ngamiani nao wameiomba serikali iwaangalie kwa jicho la tatu katika kuwaunga mkono kwa kuweza kutakaza kamba za plastiki kwani kamaba hizo inachangia katika uchafuzi wa mazingira.
Majaliwa atoa maagizo kulinda zao la mkonge - Mwananchi
Dec 4, 2022 · Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameiagiza wizara ya kilimo pamoja na Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano kuharakisha mchakato wa kutunga kanuni za kudhibiti matumizi ya kamba za plastiki.
Fahamu kuhusu Biashara ya mkonge nchini Tanzania na
Nov 30, 2016 · Kwa wastani, mkonge unaweza kuishi wastani wa kati ya miaka 13 hadi 14, majani yake yanaweza kufikia urefu wa futi 200 hadi 300 hutumika kutengeneza bidhaa mbalimbali kama vile kamba nene, magunia, heleni na mazuria.
SERIKALI YAHAMASISHA MATUMIZI YA VIFUNGASHIO VYA MKONGE
Jul 17, 2022 · SERIKALI imeanza kutumia na kuhamasisha matumizi ya vifungashio vitokanavyo na zao la Mkonge kwenye bidhaa za mazao ya kimkakati. Hatua hiyo imekuja baada ya kufutwa kwa kodi ya ongezeko la thamani (VAT), katika kamba …
Uzalishaji wa mkonge nchini Tanzania - Wikipedia, kamusi elezo …
Wakati wa uhuru mnamo 1961, Tanzania ilikuwa muuzaji mkubwa zaidi wa Mkonge duniani, na tasnia hiyo iliajiri zaidi ya watu milioni 1 kati ya wakulima na wafanyikazi wa viwanda. [1] Uzalishaji wa mkonge ulianza kupungua baada ya uhuru kwa sababu ya kushuka kwa bei za ulimwengu kwani kamba za nailoni zilikuwa maarufu zaidi na kuwa mbadala wa mkonge.
Kamba za plastiki kutoka nje kupigwa marufuku nchini
Jan 27, 2021 · Majaliwa aliyekuwa ziarani mkoani hapa kutembelea mashamba ya mkonge na kukagua viwanda vya kuchakata na kuzalisha bidhaa zitokanazo na mkonge, alitoa ahadi hiyo alipokuwa katika kiwanda cha kutengeneza kamba cha …
Serikali yapiga marufuku matumizi ya kamba za plastiki
Sep 14, 2021 · Serikali nchini imepiga marufuku matumizi ya kamba za plastiki kwa taasisi zote za Serikali na kuagiza kutumika kwa kamba zinazotokana na zao la Mkonge ili kuongeza soko la uhakika kwa wakulima wa Mkonge. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Hussein Bashe kwa niaba ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Kilimo na Masoko ya mkonge - JamiiForums
Jun 7, 2022 · -Mwaka 2019 Serikali ilitangaza zao la mkonge kuwa moja kati ya mazao 7 (saba) ya kimkakati hapa nchini.-Kufuatia hatua hiyo, Serikali imeiagiza Bodi ya Mkonge Tanzania kwa kushirikiana na wadau wote kuhakikisha kuwa uzalishaji wa zao la mkonge unaongezeka kutoka Tani 36,000 mwaka 2019 kufikia Tani 120,000 ifikapo mwaka 2025.
Bashe asisitiza juhudi sera matumizi ya mkonge - EATV
Dec 13, 2023 · Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, amesema upo umuhimu wa kuongeza juhudi za kisera juu ya matumizi ya bidhaa za mkonge ili kudhibiti matumizi ya bidhaa za plastiki ambazo zinatokana na mazao yanayoweza kuzalishwa hapa nchini.
Wadau wa mkonge wakerwa na matumizi ya mazulia ya plastiki …
Aug 17, 2017 · Wadau wa mkonge nchini wamemuomba Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe kulifikisha kwa Rais John Magufuli ombi lao la kutaka ofisi za Serikali ziagizwe kutumia mazuria na kamba za mkonge badala ya …
- Some results have been removed