
Ajali yasababisha kifo cha Mkuu wa Polisi Chanika - bongo5.com
Mar 17, 2025 · MKUU wa Polisi Wilaya ya Kipolisi Chanika, Awadhi Chico amefariki dunia baada ya kupata ajali maeneo ya Pugu mwisho wa lami jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Machi 17, 2025 na Kaimu Kamanda Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Fausine Mafwele imeeleza kuwa ajali hiyo imetokea majira ya …
AJALI YA GARI YAKATISHA MAISHA YA MKUU WA KITUO CHA POLISI …
AJALI YA GARI YAKATISHA MAISHA YA MKUU WA KITUO CHA POLISI CHANIKA/KUZIKWA KESHO MAKABURI YA KISUTU
Kifo cha SP Chiko Kufuatia Ajali ya Gari: Maziko Kufanyika Kesho ...
Mar 17, 2025 · Ajali mbaya imetokea maeneo ya Gongolamboto mwisho, karibu na Kilima cha kuingia Pugu Sekondari, ambapo aliyekuwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Chanika (OCD), SP Awadh Mohamed Chiko, amefariki dunia.
#HABARI: Ajali imetokea eneo la Gongolamboto mwisho, kwenye …
Mar 17, 2025 · ITV TANZANIA (@itvtz). 3 Replies. 55 Likes. #HABARI: Ajali imetokea eneo la Gongolamboto mwisho, kwenye kilima cha kuingia Pugu Sekondari na kusababisha kifo cha aliyekuwa Mkuu wa Polisi wa Chanika (OCD), Awadh Mohamed Chiko. Kwa mujibu wa mashuhuda, daladala la aina ya Eicher lilitanua na kufuata upande wa gari la OCD Awadh, ambaye alikuwa akiendesha Toyota Prado, na kusababisha ajali hiyo ...
Ajali zilivyotikisa 2024 | Nipashe Jumapili - ippmedia.com
2 days ago · AjaliTaarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Edith Swebe, ilitaja chanzo cha ajali hiyo iliyotokea katika Kijiji cha Ruguru wilayani Itilima kuwa ni mwendokasi na dereva wa Fuso aliyejaribu kupishana na magari bila kuchukua tahadhari.
Watu wanne wafariki katika ajali ya pikipiki Newala | Nipashe
2 days ago · Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, ACP Mtaki Kurwijila akizungumza na waandishi wa habari. Watu wanne wamefariki dunia wilayani Newala, mkoani Mtwara, baada ya pikipiki waliyokuwa wamebebana kuacha barabara na kugonga korongo katika safu ya …
Polisi yashangazwa bodaboda kupiga picha ajali badala ya …
3 days ago · JESHI la Polisi mkoani Ruvuma limetoa ufafanuzi kuhusu ajali ya gari lililowaka moto na kusababisha vifo vya watu sita, wakiwamo dereva Vicent Milinga na mkewe Judith Nyoni, mwalimu wa Shule ya Msingi Lumalu, wilayani Nyasa.
Watu saba wafa ajali ya gari Karagwe - HabariLeo
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kagera, Brasius Chatanda amesema ajali hiyo imetokea majira ya saa 5 asubuhi ambapo dereva wa lori hilo aina ya Scania T621 EJQ lilikuwa kasi, hivyo kupelekea lori hilo na trela lenye namba za usajili T472EAQ kugonga magari ya abiria aina ya Toyota Hiace na Coaster.
Niffer atii agizo la Waziri Mkuu, aripoti Polisi | Mwanaspoti
Nov 19, 2024 · Wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiliagiza Jeshi la PolisI kumsaka mwanamitandao na mfanyabiashara, Jenifer Jovin 'Niffer' ili kumhoji aliyempa kibali cha kuchangisha rambirambi za waliofariki dunia katika ajali ya ghorofa Kariakoo, mwanamitandao huyo ametii agizo na kuripoti Kituo Kati cha Polisi, Dodoma.
Ajali: New Force yapinduka tena Mlima Kitonga, Polisi waongea, …
Jul 2, 2023 · @AyoTV_ imeongea na RPC wa Iringa Allan Bukumbi kwa njia ya simu na amethibitisha ajali ajali na kusema hakuna majeruhi wala kifo na kwamba basi hilo lilikuwa na abiria 57 na lilipinduka mara baada ya dereva kuyapita magari mengine na kushindwa kurudi katika mstari wake na ndipo alipogonga jiwe na gari hilo kupinduka.
- Some results have been removed