Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imepanga kufanya mnada wa vitalu 26 vya gesi asilia na mafuta mnamo Machi 5, mwaka huu, katika Ukumbi wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, ...