WAKATI mashabiki wa KenGold wakisubiri kwa hamu kumuona uwanjani staa mpya wa timu hiyo, Bernard Morrison, nyota huyo bado ...
Mashabiki wa Yanga wana kiu ya kumwona nyota mpya wa timu hiyo, Jonathan Ikangalombo ‘Ikanga Speed’ aliyesajiliwa dirisha ...
MASHABIKI wa Yanga wana kiu ya kumwona nyota mpya wa timu hiyo, Jonathan Ikangalombo ‘Ikanga Speed’ aliyesajiliwa dirisha ...
Viongozi wa Ulaya wanataharuki. Mkutano wao wa usalama ulioitishwa ghafla huko Paris Jumatatu ni uthibitisho wa hilo.
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, jana walirejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya kuisambaratisha KMC mabao 6-1 kwenye uwanja wa KMC Complex, huku kiungo msha ...
MZUNGUKO wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara umeanza, huku jumla ya wachezaji 50 wakiwa wamesajiliwa kipindi cha dirisha dogo la Januari. Wakati dirisha dogo la usajili likiingiza idadi hiyo ya ...
Villa pia wanakaribia kumnasa Marco Asensio kutoka PSG. Dirisha la usajili linafungwa kesho saa 6 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Tiririka! Matajiri hawa wa Jiji la Dar es Salaam hawajafanya usajili mkubwa katika dirisha dogo la Januari ingawa wamezingatia tu mahitaji yao, kutokana na wengi waliopo kuonekana kufiti mfumo wa ...