Arusha. Kama sio kutoijua sheria vizuri, pengine Clara Kachewa angepata kifuta machozi cha Sh505 milioni alichokuwa akilidai Shirika la Umeme (Tanesco), baada ya kupigwa shoti ya umeme iliyosababishwa ...
Tayari Barakah da Prince ameshinda Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) na ametoa EP moja, African Prince (2018) huku mengi ...
Dk Mzee amesema zipo saratani zilizoonekana kuwaathiri zaidi wanaume na wanawake, akinukuu takwimu za Taifa za miaka mitano ...
Katika kesi ya kwanza, wakili Mafuru amedai kuwa, washtakiwa wanakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi namba 2997/2025.
Kibu Denis amekuwa mchezaji tegemeo katika kikosi cha Simba ambapo jeraha lake linaiweka timu kwenye wakati mgumu kuelekea mchezo dhidi ya Fountain Gate. Dar es Salaam. S imba bado haina uhakika wa ...
Elimu ya awali inalenga kumwandaa mtoto kimakuzi, kimwili, kiakili, kimaadili, kijamii na kijinsi na kumwezesha mtoto ...
Uzinduzi huo unafuatia kukamilika kwa nchakato wa mapitio ya sera hiyo iliyozinduliwa kwa mara ya kwanza mwaka 2014.
Tuzo ya Gates Goalkeeper imeasisiwa na Taasisi ya Bill and Mellinda Gate mwaka 2017 ikilenga kuchochea na kuonyesha juhudi za ...
Makoga ameiomba Mahakama hiyo kutokana na upelelezi huo kutokamilika, kesi hiyo ihairishwe mpaka Februari 12, 2025.
Watuhumiwa hao ni Kelvin Mroso, Genes Asenga, Dismas Sunni na Naidha Ngimba waliofungua maombi hayo dhidi ya Mkuu wa Kituo ...
Mwanamuziki na mmiliki wa Lebo ya WCB Diamond Platnumz amekanusha msanii wake Mbosso kuondoka kwenye lebo hiyo ...
Wakili alidai kuwa, upelelezi wa kesi hiyo bado unaendelea hivyo, wanaomba tarehe nyingine kwa ajili ya kutajwa.