Pengine usipate fursa ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati, lakini nawe ni miongoni mwa wanufaika.