Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa amefurahishwa na mwitikio wa taasisi za Serikali kwa kutenga na kutoa asilimia 30 ya bajeti za ununuzi kwa ajili ya makundi maalum katika jamii. Rais Samia ...
"Tumesikitishwa na tukio hili, na tunaiomba serikali na vyombo vya ulinzi kuhakikisha wahalifu wanakamatwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria," alisema Kayange.