Namukiza ni mwanafunzi katika shule moja iliyoko Kakuma, ambayo ilianzishwa na kutambulika kwa jina la mwigizaji wa Hollywood, Angelina Jolie, balozi mwema wa Shirika la Umoja wa Mataifa la ...
Mwanza. Mwanafunzi anayesoma kidato cha tano katika moja ya shule ya sekondari iliyopo mkoani Tanga, Benadeta Silvester (21) amefariki dunia baada ya kukabwa koo na mpenzi wake, Adamu Kailanga (30) ...
TAASISI ya Elimu Tanzania (TET), imeandaa mpango wa kuhakikisha kila mwanafunzi shuleni anakuwa na kitabu, ikiwa ni kusherehekea miaka 50 tangu kuanzishwa kwake. Aidha, ili kufikia lengo hilo, TET ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk. Doto Biteko ameagiza Mwanafunzi Mirabelle Msukari na Wenzake wa Shule ya Msingi Sun Rise iliyopo wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam kupelekwa katika ...
MANCHESTER, ENGLAND: BEKI wa zamani, Rio Ferdinand amesema presha ya kuichezea Manchester United si mchezo ndiyo maana wachezaji wengi wanaondoka Old Trafford wanakwenda kung'ara huko kwingineko kwa ...
Amesema vurugu hizo zilikuja kufuatia tukio la mwanafunzi mwenzao wa kidato cha sita Brighton Philipo wa mchepuo wa EGM kukamatwa na walinzi akimiliki simu ya mkononi kinyume na taratibu za shule.
Sababu zinazowafanya wanafunzi wasahau ni hizi: Mosi, kutopitia somo baada ya kufundishwa. Wataalamu wa mambo ya usomaji, wanasema mwanafunzi anapofundishwa somo, anapaswa kulipitia somo hilo hata ...
Wanafunzi wawili hawakukutwa na hatia.” Taarifa ilieleza kwamba kwa mujibu wa taratibu za Udom, mwanafunzi ambaye hajaridhika na uamuzi wa seneti anapewa nafasi ya kukata rufaa. “Hivyo wanafunzi ambao ...
Aluel,Mwanawe Tieng Maleng, ambaye ni mwanafunzi katika shule hiyo anasema, “Tunaenda shule kila asubuhi na ndoto yangu ni kufanya kazi na mashirika yanayosaidia watu. Wakati kengele ya shule inapolia ...
mwanafunzi huyu raia wa DRC aliyekimbia nchini mwake mwaka jana na kuingia Uganda ambako sasa anapata hifadhi. Amesema hayo kwenye video ya shirika la Umoja wa MAtaifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR ...