Kundi la Hamas limeanza mikutano na maafisa wa Misri kujadili utekelezaji wa makubaliano ya kusitisha mapigano.