JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata askari wawili wa usalama barabarani (trafiki) kwa tuhuma za kupokea rushwa kutoka kwa madereva wa mabasi ya abiria, maarufu kama daladala.
WAKATI jumla ya mabao 264 yakifungwa hadi kumalizika kwa mechi za mzunguko wa kwanza, Simba inaonekana ni hatari zaidi kufunga mabao wachezaji wake wanapokuwa ndani ya eneo la hatari, huku Yanga ...