News

NAIBU Waziri wa Fedha,Hamad Hassan Chande amewataka wafanyakazi wa Ofisi za Taifa za Takwimu (NBS) kufanya kazi kwa maarifa, weledi na bidii kubwa huku akiwataka kujiendeleza kielimu. Kauli hiyo ...
Waziri wa Madini, Dk. Doto Biteko. Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Waziri wa Madini, Dk. Doto Biteko amekutana na wadau na taasisi mbalimbali wa madini kutoa na kupokea maoni ya marekebisho ya ...
Jeshi la Sudan limetangaza mafanikio makubwa baada ya kukomboa mji wa Wad Madani, mji muhimu mashariki mwa nchi hiyo, kutoka mikononi mwa vikosi vya wanamgambo wa Rapid Support Forces (RSF). Tukio ...
UONGOZI wa Hospitali ya Rufaa ya Amana, Dar es Salaam, umewasimamisha kazi madaktari wawili na muuguzi mmoja wakidaiwa kutoa lugha chafu kwa wagonjwa. Hatua hiyo inatokana na malalamiko kutoka kwa ...
Impostor syndrome was identified by Pauline Clance and Suzanne Eames in an article in 1978. Initially, psychologists believed that the phenomenon affects only women. The reasons were social inequality ...
Uhakika wa ajira imekuwa ni changamoto kubwa inayowakabili vijana wengi wanaohitimu kwenye vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini. Hatua hiyo imekuwa ikipelekea wahitimu wengi kuzunguka huku na kule wakiwa ...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shule Soft, Ephraim Swilla(katikati) akizungumza wakati wa kutambulisha mfumo huo kwa waandishi wa habari, kulia kwake ni Mkuu wa Masoko wa Selcom, Shumbana Walwa na kushoto ...
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa. Na Clara Matimo, Mwanza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesema wakazi wote waliovamia, kujenga nyumba na kuishi ...
Mkurugenzi wa Kitengo ya Maadhimisho na Sherehe za Kitaifa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu, Batholomeo Jungu (wa nne kutoka kushoto) akiwa katika pita ya pamoja na kikosi kazi cha ...
Ushiriki wa Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa G20 uliofanyika hapa Rio de Janeiro, Brazil na kuhusisha nchi tajiri 19 duniani, Umoja wa Ulaya (EU) na Umoja wa Afrika (AU), umekuwa wa manufaa ...
Taasisi isiyo ya kiserikali ya Africa Freedom of Information Centre(AFIC), imeiomba Serikali kutunga na kutekeleza Sheria na Sera zinazozingatia jinsia ili kuboresha usalama wa wanahabari mahala pa ...
MGOMBEA udiwani Kata ya Makurumla, Bakari Kimwanga (CCM), amesema iwapo atachaguliwa Oktoba 28, jambo la kwanza atakalolifanya ni kuimarisha miundombinu. Kimwanga aliyasema hayo mwishoni mwa wiki ...