News

Pweza na supu yake ni chakula cha kitamaduni tangu kale ... Kumpata pweza si rahisi na anahitaji maandalizi. Mvuvi Bw. Almasi ambaye amefanya kazi hii ya uvuvi wa pweza kwa miaka 12 aliniambia ...
Wiki hii Katika mfulizo wa vyakula vya asili vinavyopikwa katika ukanda wa Afrika Mashariki tunaangazia makala fupi ya chakula kuhusu pishi la supu ya Kongoro ambayo ni maarufu sana nchini ...