News

Unaweza kuiita ziara ya kihistoria kwa Rais Samia Suluhu Hassan aliyoifanya nchini Angola kwa mara ya kwanza tangu aingie ...
Ziara ya Samia imeonekana kuwa imechangia sehemu kubwa kufungua milango ya kibiashara kati ya nchi hizo mbili na kuondoa dhana na hofu zilizokuwepo kwamba uhusiano kati ya nchi hizo mbili ulikuwa ...
Kuimarisha ushirikiano, kukuza biashara, mustakabali wa kinachoendelea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ni miongoni mwa mambo yanayotarajiwa katika ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan ...
Rais Samia Suluhu Hassan, amewasili nchini Angola jana kwa ziara ya kikazi ya kihistoria inayolenga kuimarisha ushirikiano ...
Akiwa Rais wa Tanzania , rais Samia Suluhu Hassan anakuwa rais wa tatu wa kike barani Afrika, Hii ni baada ya marais wa zamani Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia na Joyce Banda wa Malawi.
DODOMA: Rais Samia Suluhu Hassan leo Aprili 5, 2025, amezindua jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma.
Timu ya soka ya Dream FC ya Ferry Kigamboni imefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya Samia Cup kwa kuichapa Wahenga FC mabao ...
Naibu Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel amesema wanajivunia maboresho makubwa yaliyofanywa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ...
DODOMA: KWA MARA ya kwanza katika historia, Mahakama ya Tanzania inatarajia kuzindua Makao Makuu yake jijini Dodoma, ...