''Uvuvi wa mabomu unaharibu mazingira ya chini ya bahari ambayo huwezesha samaki kuzaana na hiyo imetuathiri sana sisi tunaovua kwa kutumia nyavu kuvua -idadi ya samaki imepungua sana,sio kama ...
Sekta ya uvuvi nchini huleta kipato cha kutosha kwa baadhi ya wananchi wa Tanzania ikiwa na zaidi ya watu milioni nne wakijishughulisha na uvuvi. Hata hivyo uvuvi haramu umeleta madhara katika ...