Kampuni ya Upstream ambayo hukabiliana na ulaghai wa kiteknolojia imepata nambari maalum 53,000 katika simu za Tecno, zilizouzwa Ethiopia, Cameroon, Misri, Ghana na Afrika Kusini. Waundaji wa simu ...