Msanii wa bongo Fleva kutoka Tanzania Ibrahim Musa aka Roma Mkatoliki ametoweka baada ya kudaiwa kukamatwa mapema siku ya Alhamisi katika mji wa Dar es Salaam. Inadaiwa alichukuliwa katika studio ...
Msanii wa Bongo Fleva, Salum Mohamed aliyetamba kwa jina la Jukwaani kama Sam wa Ukweli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Juni 7, 2018. Sam alitamba sana na kazi zake kama vile Sina Raha ...