Kwa wasio wenyeji wa mji wa Mwanza huwa wanapigwa na butwaa wanapoona nyumba zilizojengwa milimani na nyingine zikiwa juu au chini ya mawe makubwa. Wakazi wa mtaa wa Nyerere B jiji Mwanza wanasema ...