Hiyo ni muhimu, ikiwa jamaa zake wameponea maafa wanaweza kumdai. Maelezo ya picha, Serikali ya Libya inayotambulika kimataifa imesema zaidi ya robo ya majengo ya Derna yaliharibiwa na mafuriko ...
Vikosi vya uokoaji nchini Ugiriki vinasema takriban watu kumi na nne wanahofiwa kufariki baada ya mafuriko makubwa kutokea karibia na mji mkuu Athens. Wanasema wanatarajia kuopoa miili ya watu ...