Vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) vimepungua kutoka 58,000 mwaka 2015 hadi 18,400 mwaka 2024, hii ikiwa ni sawa ...
Kifua kikuu husababishwa na bakteria aitwaye Mycobacterium. Ikiwa unawasiliana na mtu aliyeambukizwa, kupiga chafya, kukohoa na kuenea kwa hewa kunaweza kuambukiza watu wanaozunguka.
Maambukizi ya kifua kikuu yanaweza kuenezwa kwa urahisi katika miji mikubwa na maeneo ya umma ambapo kuna mkusanyiko mkubwa ...
Chuo kikuu ninachozungumzia hapa sio Oxford au Harvard, wala sio Chuo Kikuu maarufu cha Cambridge. Nitakutambulisha huko Morocco katika jiji la Fes, ambalo ni mahali palipozaliwa maarifa ya kisasa.
Wakati vifo vinavyotokana na virusi vya corona vikiongezeka duniani, maafisa wa afya ulimwenguni wanakumbusha kuwa kifua kikuu ni ugonjwa hatari zaidi duniani. Zaidi ya vifo milioni moja ...
Tanzania imepunguza maambukizi mapya ya ugonjwa wa Kifua Kikuu kwa asilimia 40, hatua inayoiweka nchi katika mwelekeo sahihi ...
Mfumo unaotumia Akili Unde (AI), utakaomwezesha mtu kujipima na kubaini changamoto za afya akili kwa kutumia simu au kompyuta na kisha kupata ushauri wa kitaalamu, utazinduliwa Juni mwaka huu.
VITA dhidi ya magonjwa ilianza tangu nchi ilipopata uhuru wakati Mwalimu Julius Nyerere alipotangaza maadui watatu wa ...
MKURUGENZI wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni, Boniface Kadili amekipongeza Chuo kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kwa ...