Mashuka yenye urembo wa maua ya kushonwa na rangi za kuvutia yameninginizwa pembezoni mwa barabara na nje ya nyumba kama uzio, ni ishara inayoweza kukujulisha kuwa umefika Kigoma. Ni katika mji ...
Kufifia kwa umaarufu wa eneo kongwe la Ujiji kulichangiwa na sababu nyingi, ikiwemo kuanzishwa kwa mji mpya wa Kigoma. Kurejea kwa Ndiyunze Msherwampamba aliyekuwa kiongozi wa watu wa kabila la ...