Wafuasi wa Etienne Tshisekedi kiongozi wa upinzani nchini DR Congo aliyefariki wamekongamana katika mji mkuu wa Kinshasa ili kuonyesha mshangao wao wa kifo cha kiongozi huyo. Akiwa mpinzani ...