News
Kasisi mmoja wa kanisa Katoliki nchini Kenya aliyepata umaarufu kutokana na mtindo wake wa kutumbuiza kwa kutumia muziki wa kufoka amesimamishwa kazi. Paul Ogalo aka 'Sweet Paul' amekuwa akitumia ...
Kanisa Katoliki nchini Tanzania ni miongoni mwa taasisi zilizo mstari wa mbele katika kuzungumzia masuala ya kiraia, kisiasa na kijamii. Wakati nyakati zingine jukumu hili hufanywa kupitia ...
Mamia ya waombolezaji wamejitokeza kushiriki safari ya mwisho hapa duniani ya wanandoa Antony Ngaboli (46) na Anna Amiri (39) ...
Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini DRC walieleza msimamo wao kufuatia barua ya papa iliyowaidhinisha makasisi kutekeleza baraka rahisi, nje ya liturujia, ya ndoa ya wapenzi wa jinsia moja.
Hata hivyo, Maaskofu hao hawajesema kuwa wanaounga mkono ndoa za jinsia moja, lakini Mashirika yanayotetea haki za mashoga na wasagaji wanasema hatua ya kutambuliwa na Kanisa Katoliki ni ya kutia ...
Aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Raphael Ndingi Mwana 'a Nzeki amefariki dunia. a'Nzeki ameaga dunia akiwa na umri wa miaka themanini na minane baada ya kuugua kwa muda mrefu. Taarifa ya ...
Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Leo XIV ametangaza Jumamosi sera za uongozi wake, huku akiitaja teknolojia ya akili mnemba kama moja ya changamoto kubwa kwa ulimwengu. Papa Leo ...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padri Dk. Charles Kitima ameongoza adhimisho la misa takatifu ya shukrani kwa mara ya kwanza baada ya kutoka hospitali alikokuwa anapatiwa mat ...
Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeshutumu kile linachosema ni "matumizi mabaya ya vyombo vya sheria" yanayofanywa na serikali ya Rais Félix Tshisekedi. Miezi sita kabla ...
Programu ya habari ya Afrika Upya inapeana habari mpya na uchambuzi wa changamoto kuu za kiuchumi na maendeleo zinazoikabili Afrika leo. Inachunguza maswala mengi yanayowakabili watu wa Afrika ...
MTWARA: Mhashamu Titusi Mdoe Askofu wa Jimbo Katoliki Mtwara, amewataka waumini kuendelea kufuata njia za Mwenyezi Mungu kwa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results