Wakati wa kusoma Injili, vitabu vinne vya Biblia vinavyosimulia maisha ya Yesu, hali inakuwa ngumu zaidi. "Hii ni kwa sababu mwandishi mmoja tu wa Agano Jipya alisema ni akina nani hasa 12 ...
"Yesu hakujaribiwa kamwe ... mikono yake kuonesha kwamba hakuwa na sababu ya kuuliwa. Katika sura ya 23 ya Injili ya Luka, andiko hilo linasema kwamba "wakaanza kumshitaki, wakisema: Tumemwona ...