JANUARI 22 mwaka huu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kilifanya uchaguzi wa viongozi wake wa juu, huku Tundu ...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema, ameonesha masikitiko yake kuhusu taarifa ...
Tundu Lissu amechukua usukani wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema. Lissu amemng'oa madarakani Freeman Mbowe ambaye amekiongoza chama hicho kama mwenyekiti kwa miongo miwili.
Sigrada anadaiwa kupigwa Machi 25, 2025 na mmoja wa walinzi wa Chadema kwenye kikao cha ndani kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, John Heche.
Inaeleza taarifa ya jeshi hilo. Kwa mujibu wa katibu wa chama hicho John Mnyika alisema kuwa Mzee Ali kibao alikua safirini aliekea mkoani Tanga kabla ya kuchukuliwa na watu wenye silaha na pingu ...
Katibu Mwenezi Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha), Sigrada Mligo (34) ameeleza kuwa sababu ya kushambuliwa na mlinzi ni ...